RSS

Uongozi na Wachungaji wa Kweli: Semina ya Viongozi

KUSIKILIZA, BONYEZA JINA LA JUMBE HAPO CHINI. UKURASA MWINGINE UTAFUNGUA, NA JUMBE UTAANZA.
JUMBE USIPOANZA, BONYEZA MSHALE WA KUSHOTO ( WA KWANZA > ).
KUDOWNLOAD / KUPAKUA JUMBE, KUBONYEZA MSHALE WA MWISHO ∇.

 

UONGOZI NA WACHUNGAJI WA KWELI

 

 

One response to “Uongozi na Wachungaji wa Kweli: Semina ya Viongozi

  1. Mchungaji MACINDAKO MLANDA Samuel

    August 31, 2016 at 8:48 pm

    Jambo katika jina tukufu la Bwana wetu Yesu Krist ni matumaini ya kuwa hajambo.Madhumini yangu ni kusema ya kwamba somo zenu mnazo zirusha zimenibariki tena zina nisaidia kukuza viwango vya utumishi wangu.pia yana nisaidia katika uboreshaji wa huduma yangu hasa masomo ya uongozi na uchungaji wa kweli,dalili za mtumishi wa Mungu,sifa za mtumishi wa Mungu.Mambo ya zaka,utoaji, sadaka,fungu la kumi na pesa.Nina washukuruni sana.Nina wasihi kuwa mnanitumia masomo mbalimbali kwa ajili ya kujenda utukufu wa Mungu.zaidi ya yote ningehitaji kuwa marafiki kati ya huduma yenu na ya MAKERUBI REVIVAL MINISTRY DRCongo.Tunapatikana katika kambi la wakimbizi la Nyarugusu,Tarafa ya Makere.Wilaya ya Kasulu,Mkoa wa Kigoma. Asante kwa usiku mwema. Nawatakieni ushirikiano wenu mwema. Amen.

     

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: