Ubatizo kwa Roho Mtakatifu na Moto
KUSIKILIZA, BONYEZA JINA LA JUMBE HAPO CHINI. UKURASA MWINGINE UTAFUNGUA, NA JUMBE UTAANZA.
JUMBE USIPOANZA, BONYEZA MSHALE WA KUSHOTO ( WA KWANZA > ).
KUDOWNLOAD / KUPAKUA JUMBE, KUBONYEZA MSHALE WA MWISHO ∇.
UBATIZO KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO
NI VIZURI SANA KUSOMA JUMBE HUU PIA. UNAHUSU UBATIZO KWA ROHO PIA:
Hamza Mkanyipelele
April 19, 2015 at 7:03 pm
Ubatizo
ALPHONCE KWENDE
August 6, 2015 at 9:11 am
Mtumishi nabarikiwa sana na mafundisho yako najua ni injili sahihi kila mtu angeisikia leo hii lakini watu wamegeukia hadithi za watu na mafundisho yaliyochanganywa neema na sheria ili yatubze maslahi ya wahubiri.Barikiwa mtumishi.
ANTONY MASAMAKI
November 15, 2015 at 12:54 pm
Amina mtumishi Mungu akubariki sana!
ERICK
December 15, 2015 at 6:20 pm
NI NZURI
Erick
December 15, 2015 at 6:22 pm
Naomba mathayo 5
erick
December 15, 2015 at 6:26 pm
Nimebarikiwa vyakutosha
John wakuchalo.
March 5, 2017 at 2:36 pm
Kwa namna mtiririko wa somo ulivyo kwenda nilianza kuona haja ya ubatizo wa maji mengi inakosa nguvu kama si kwisha.Kwani kama kuokoka ni kuzaliwa upya utu wetu wa ndani maji yanayo osha mwili wa inje tu yana nafasi gani?maana kama ni kuzikwa pamoja na kristo jambo hilo linabaki kuwa tendo la imani,naweza kubali kwamba kwa wakati wa yohana mbatizaji hadi kifo cha kristo jambo hilo lilileta maana likitoa funzo kuonyesha uwezo na nguvu ya kifo cha yesu kuondoa dhambi.Ubatizo wa maji mengi nao ulikuwa kwa ajili ya kuondoa dhambi.Jambo ambalo kifo cha Yesu kimefanya.Kama niko sawa.Kwa nini ubatizo wa maji mengi?