KIMAASAI AGANO JIPYA AUDIO
Kudownload au kusikiliza kitabu kwa kitabu. INAFAA UKITUMIA SIMU na COMPUTA.
Bofya jina la kitabu unachokitaka kusikiliza au kudownload. Ndipo ufuate mwelezo ya simu yako. Kama browser moja inashindwa, jaribu nyingine ukiwa nayo. (Kama ukurasa mwingine ukifungua mara moja, jumbe utaanza. Jumbe usipoanza, bonyeza mshale huo > . Kudownload / kupakua jumbe, kubonyeza mshale huo ∇. ) [Kudownload Agano Jipya kama file mmoja kwenye COMPUTA TU, angalie maagizo ya hapo chini zaidi.]
———————————————————————
SHUKURANI KWA FAITHCOMESBYHEARING.COM KWA AUDIO HIYO.
———————————————————————
ZIP DOCUMENT: AGANO JIPYA NZIMA KWA KIMAASAI (KAMA UKITUMIA COMPUTA).
BAADA YA DOWNLOAD UNAWEZA KUSIKILIZA AGANO JIPYA KWA LUGHA YA KIMAASAI. LAKINI DOWNLOAD INAWEZA KUCHUKUA MUDA MREFU. INATEGEMEA NA INTERNET CONNECTION YAKO. BONYEZA NA LINK TU NA DOWNLOAD ITAANZA. AU RIGHT CLICK NA CHAGUA ‘SAVE LINK AS…’ (AU ‘SAVE TARGET AS…’), NDIPO ‘SAVE’.
HIYO NI ZIP DOCUMENT BASI BAADA YA DOWNLOAD NI AFADHALI ‘TO EXTRACT’ DOCUMENT HIYO.
THIS IS AN AUDIO FILE OF THE NEW TESTAMENT IN THE MAASAI LANGUAGE. YOU CAN DOWNLOAD IT BY JUST CLICKING ON THE LINK, OR RIGHT CLICK ON THE LINK AND CHOOSE ‘SAVE LINK AS..’ (OR ‘SAVE TARGET AS…’), AND THEN CLICK ‘SAVE’ TO DOWNLOAD IT TO THE LOCATION YOU WANT ON YOUR COMPUTER. BE AWARE THE DOWNLOAD COULD TAKE SOME TIME. THIS IS A ZIP DOCMENT SO IT IS BETTER TO EXTRACT THE FILES AFTER DOWNLOAD.
WITH THANKS TO FAITHCOMESBYHEARING.COM
MWALIMU SIGSMUND WOISSO
June 20, 2017 at 10:54 am
hii ni nzuri na inarahisisha kuhubiri kwa jamii ya kimasai.
Nepasnay
October 16, 2018 at 7:07 pm
Kabisa yaani nimefurahi sana
Nepasnay
October 16, 2018 at 7:08 pm
Nashukuru mtumishi kwa kutuletea elimu hii itakayowafungua wengi
Ebenezer G L Mfupi
May 3, 2022 at 1:31 pm
Mungu mkuu