RSS

OSOTUA NGEJUK

Agano Jipya kwa Lugha ya Kimaasai.        Kusoma Osotua Ngejuk kwenye tovuti yangu, bonyeza link ifuatayo: Osotua Ngejuk

KUPAKUA / DOWNLOAD Doc. file ya Osotua Ngejuk, bonyeza link HAPO CHINI tu.

KUPAKUA / DOWNLOAD PDF file, bonyeza kulia (right-click) juu ya link ifuatayo hapo chini, chagua ‘save link as…’ (au ‘save target as…’) toka menu, ndipo chagua ‘Save’ (ndani ya ‘Save As’ window) , na download itanza; Au bonyeza link tu na PDF itatokeza, ndipo unaweza ‘kusave’ PDF kwenye screen chini na kulia. Download (Pakua) Files hizi kwa ajili ya matumizi binafsi tu. Siyo halali kutumia Files hizo kwa ajili ya biashara.

UKITAMBUA MAKOSA YA KUCHAPA KATIKA TEXT, NAOMBA UNIJULISHE (hapo chini kwenye ‘Maoni’). ASANTEENI.

Word Doc. Files:

Osotua Ngejuk L P      (Text: Mstari hadi mstari.)

Osotua Ngejuk J P      (Text ya mfululizo)

PDF Files

Osotua Ngejuk L          (Text: Mstari hadi mstari.)

Osotua Ngejuk J          (Text ya mfululizo)

Mfano wa Text ya mfululizo:   (Marko 1)

1 Enkiterunoto oo lomon supati le Yesu Kristo Enkerai e Nkai. 2 Anaa enaigero oloiboni le Nkai oji Isaya pee ejo, “Ng’ura, airriwaa olkilikuai lai dukuya enkomom   ino, oitobir enkoitoi ino.3 Etii oltoilo obuaku ti ong’ata, ‘Entobiraki Olaitoriani enkoitoi, entobiraki irrekiei ooitoriori.’ ”

Text: mstari hadi mstari:

1 Enkiterunoto oo lomon supati le Yesu Kristo Enkerai e Nkai.
2 Anaa enaigero oloiboni le Nkai oji Isaya pee ejo, “Ng’ura, airriwaa olkilikuai lai dukuya enkomom   ino, oitobir enkoitoi ino.
3 Etii oltoilo obuaku ti ong’ata, ‘Entobiraki Olaitoriani enkoitoi, entobiraki irrekiei ooitoriori.’ ”

KURUDI HOMEPAGE YA SOMABIBLIA BONYEZA HAPA.      (Kwenye HOMEPAGE unaweza kusoma, kusikiliza na kudownload mafundisho mengi ya Biblia. Aidha, unaweza kupakua / download Biblia ya Kiswahili na Kiingereza).

 

2 responses to “OSOTUA NGEJUK

 1. Mirimba

  November 6, 2015 at 9:23 pm

  I wish to be inspired in the bible to follow and do the willing of God.

   
 2. GONDWE

  November 9, 2015 at 10:21 am

  Ni kazi njema.Mungu azidishe nguvu hii kwa uoande wako.ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa facebook kwa kuandika kama hivu,Noah amenielekeza,najaribu kuona kama nafaulu.basi pia kuna typing erro nadhani .umeandika Maono…badala ya Maoni

  maono ni ufunuo wa kiMungu juu ya mambo yakufanya na kutimuzwa nyakati za mbele.

  Maoni ni mashauri,au mawazo yoyote yanayo tolewa na mtu mwingine kwa ajili ya kuboresha jambo fulani(tafsiri ni yangu tu,).
  Ninadhani ulikenga kusema Maoni.
  ubarikiwe sana

   
 
%d bloggers like this: