RSS

JUMBE ZA KUSIKILIZA (AUDIO)

 MAPYA     JUMBE MUHIMU SANA

MAFUNDISHO JUU YA KUSEMA UONGO

SEMINA YA VIJANA 2022

JUMBE ZIPENDEKAZO ZA KUSIKILZA (AUDIO):   BONYEZA JINA LA JUMBE TU.

 1. UFALME WA MUNGU 1: SHOKA LIMEKWISHA KUWEKWA MIZIZI        
 2. UFALME WA MUNGU 2:  KUFANYWA KIUMBE KIPYA – KUFANYWA HAKI YA MUNGU!  
 3. YESU ANATOSHA / UNATAKA NINI: SEMINA YA CASFETA        
 4. YESU NI NJIA: SEMINA YA CASFETA 
 5. USIZOELEE KUWA MKRISTO
 6. ENENDA ZAKO WALA USITENDE DHAMBI TENA
 7. UONGOZI NA WAHUBIRI WA KWELI
 8. CHANGAMOTO KWA VIJANA NA KWA WOTE
 9. SISI TU MANUKATO YA KRISTO
 10. MAFUNDISHO JUU YA MAOMBI

SEMINA YA JUNI 2019

 1. PASIPO MAONO… WITHOUT A VISION…

SEMINA YA OKTOBA 2018

 1. UZIMA WA MILELE NI NINI?
 2. YESU ALIPO YOTE YANAWEZEKANA
 3. NAKWENDA KUWAANDALIA MAHALI
 4. JE, TUKO HATARINI YA KUPOTEZA HIKI KIZAZI KIPYA?
 5. EE MUNGU, WEWE NI MUNGU WANGU!
 6. WENGI HUPOTOSHA AGANO LA KALE ILI TUSIMJUE MUNGU.

2018. SEMINA YA VIJANA YA SIKU TANO JUU YA UTAKASO. DAR ES SALAAM

 1. UTAKASO. SEHEMU 1. SHOKA LIMEKWISHA KUWEKWA PENYE MASHINA.
 2. UTAKASO. SEHEMU 2. MWANAKONDOO AIONDOAYE DHAMBI YA ULIMWENGU.
 3. UTAKASO. SEHEMU 3. NAJITAKASA MWENYEWE.
 4. UTAKASO. SEHEMU 4. MSIUPENDE ULIMWENGU.
 5. UTAKASO. SEHEMU YA 5. KUISHI KWA NENO LA MUNGU

MAPYA: JUNI 2018. SEMINA DAR ES SALAAM: MUNGU HUIJARIBU MIOYO.

 1. BWANA HUIJARIBU MIOYO
 2. UNATAFUTA NINI
 3. SIVITAFUTI VITU VYENU, BALI NAWATAFUTA NINYI
 4. HUDUMA YA UPAKO
 5. KUISHI NA KUOMBA KWA NENO LA MUNGU

SEMINA YA  2017  

SEMINA YA VIONGOZI 2016 

 1. MSINGI MWINGINE HAKUNA 
 2. KUKUA KATIKA KRISTO        
 3. KUBADILISHWA KUPITIA KRISTO  

SEMINA YA ZANZIBAR 2016:

 1.  USIZOELEE KUWA MKRISTO
 2.  ENENDA ZAKO WALA USITENDE DHAMBI TENA
 3.  KARIBU NA MUNGU      

SEMINA: DAR ES SALAAM SEPTEMBA 2015 

 1. HUO NDIO UJASIRI WETU KATIKA SIKU YA HUKUMU
 2. SISI TU MANUKATO YA KRISTO
 3. INJILI NYINGINE?
 4. JE, UNATAKA KUWA MTUMISHI WA BWANA?

SEMINA: ZANZIBAR SEPTEMBA 2015

 1. UJUZI HULETA MAJIVONO
 2. CHANGAMOTO KWA VIJANA NA KWA WOTE

SEMINA: MOROGORO SEPTEMBA 2015

 1. MJAZWE ROHO MTAKATIFU
 2. MUNGU NI PENDO
 3. KUWA NA MZIZI NA MSINGI KATIKA PENDO

SEMINA YA VIONGOZI SEPTEMBA 2015

 1. KUMHUBIRI KRISTO, SIYO UJUZI
 2. KUISHI KRISTO
 3. KUMPENDA KRISTO
 4. KUMJUA KRISTO

MPYA: KUSIKILZA JUMBE KWENYE YOUTUBE BONYEZA HAPA

                           JUMBE ZA KUSIKILIZA: NOVEMBA 2014

 1. UFALME WA MUNGU 1: SHOKA LIMEKWISHA KUWEKWA MIZIZI        
 2. UFALME WA MUNGU 2:  KUFANYWA KIUMBE KIPYA – KUFANYWA HAKI YA MUNGU!  
 3. YESU ANATOSHA / UNATAKA NINI: SEMINA YA CASFETA        
 4. YESU NI NJIA: SEMINA YA CASFETA 
 5. UBATIZO KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO                                       
 6. JITAHIDINI KUINGIA KWA KUPITIA MLANGO MWEMBAMBA   
 7. KUHUSU KUJUA MAPENZI YA MUNGU KWA MAISHA YAKO      
 8. UONGOZI NA WACHUNGAJI WA KWELI:  SEMINA YA VIONGOZI  
 9. UONGOZI NA WAHUBIRI WA KWELI:  SEMINA YA VIONGOZI       
 10. MAFUNDISHO JUU YA MAOMBI  
 11. IMANI YA KWELI 
 12. JE, UNAMPIMA MUNGU KWA KUANGALIA MAZINGIRA YAKO                  
 13. KUABUDU                                                                                   
 14. JE, UNAMPIMA MUNGU KWA KUANGALIA MAZINGIRA YAKO?  
 15. USHIRIKA NA UMOJA 
 16. WAZEE NA WACHUNGAJI                                                                                                               

                                JUMBE ZA KUSIKILIZA ZAIDI

 1. UTOAJI NA KIKUMI / JAMBO LA UNYONYAJI           
 2. KUMFUATA YESU 1                                                   
 3. KUMFUATA YESU 2                                                  
 4. PASIPO MAONO WATU HUANGAMIA                        
 5. MSIUPENDE ULIMWENGU                                         
 6. KUWEKWA HURU MBALI NA DHAMBI                       
 7. WACHUNGAJI WANAWAKE?                                   
 8. TOKA UTUKUFU HATA UTUKUFU                             
 9. MAFUNDISHO YA BIBLIA JUU YA LAANA 1          
 10. KUSIKILIZA: MAFUNDISHO YA BIBLIA JUU YA LAANA 2          
 11. VITA VYA KIROHO NA MAOMBI: ROHO ZITAWALAZO MAENEO  
 12. KUTOA PESA: BARAKA AU BIASHARA 
 13. UPENDO WA KWANZA                  
 14. KUMJUA MUNGU 1                                                  
 15. KUMJUA MUNGU 2                                                   
 16. USHUHUDA: USHUHUDA WA AJABU WA MARCO BASHIRI: NEEMA YA MUNGU KUMWOKOA MTU KWA NGUVU NA UKUU WAKE!
 17. WAFILIPI SURA YA PILI
 18. NIPE MAJI NINYWE
 19. WEWE NI MFUNGWA WA NINI

                       ONLY IN ENGLISH

  1. EDUCATION AND THE MAKING OF A MAN OF GOD
  2. FALSE TEACHING OF ‘MAFANIKIO’ / SUCCESS
  3. TEACHING CONCERNING TITHES AND OFFERINGS  

 

RUDI KWA HOMEPAGE

 

4 responses to “JUMBE ZA KUSIKILIZA (AUDIO)

 1. juhudi michael kyando

  March 3, 2017 at 4:16 pm

  wapendwa bwana asifiwe sana
  najaribu kupakua biblia inayo ongea inagoma naomba munitumie kwa nia ya email BIBLIA YA KISWAHILI INAYO ONGEA YENYE AGANO JIPYA NA LA KALE (michaeljuhudi@yahoo.com)

   
 2. Benjamin majogo

  December 9, 2018 at 9:35 pm

  Kwakwel nabarikiwa sana na haya mafundisho! Ila najua kuna Mpango wa Mungu apo katikati

   
 3. Anonymous

  September 3, 2020 at 11:20 am

  Haya mafundisho niwatumishi wa Mungu kwelikweli ndo wanaweza kuyahubiri, Mungu azidi kukutumia mtumishi uendelee kuhubiri injili ya kweli

   
 4. Peter Kajee

  September 3, 2020 at 11:32 am

  Hata mimi nabarikiwa sana na haya mafundisho, niwatumishi wachache sana ambao wanahubiri injili kwa namna hii, walio wengi wanahubiri mafanikio na kubarikiwa vitu vya hapa duniani.pia mahubiri yao yamejaa unyonyaji wa waumini hawawapi chakula chakula cha kukulia wokovu badala yake huwahidi baraka na kuwatoza michango ndo maana waumini wanakosa chakula cha kiroho na kuambulia michango isiyokoma makanisani na kuuona wokovu ni mzigo. Yani mimi nakereka sana!!!!

   

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: