RSS

Osotua Ngejuk kwenye Internet

Sasa unaweza kusoma Osotua Ngejuk – Agano Jipya kwa lugha ya Kimaasai – kwenye Internet (mtandao) na simu. Inayo Fahirisi. Unaweza kutafuta sura utakayo kwa urahisi.

Bonyeza hapa kwenda kwa Tovuti ya Osotua Ngejuk.

Kwenye Fahirisi bonyeza link ya sura unayotaka kusoma (kwa mfano Luka 10):

Osotua Ngejuk

Sura ( Luka 10) itafunguliwa.

Osotua Ngejuk 2

Baada ya kuisoma unaweza kurudi kwenye Fahirisi kwa kuibonyeza link chini ya ukarasa.

Osotua Ngejuk 3

RUDI HOMEPAGE YA SOMABIBLIA.

 

Comments are closed.

 
%d bloggers like this: