JUU YA MFUMO WA KUIWEKA WAKFU ARDHI AU NYUMBA YAKO.

UNATAKA KUIWEKA WAKFU KWA BWANA ARDHI AU NYUMBA YAKO? Katika somo hili, tutakwenda kuyaangalia kwa makini mawazo yafuatayo ili kuyaainisha iwapo yamekaa kiroho au hapana. Jambo la kwanza, ni vema tujue: je, neno la Mungu linakuhitaji wewe utakase au uweke wakfu kwa Mungu lile shamba lako, nyumba yako au hata mali zako zozote? Jambo la … Continue reading JUU YA MFUMO WA KUIWEKA WAKFU ARDHI AU NYUMBA YAKO.