Chimbuko Na Upotofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato

  Pamoja na somo hili ni vizuri kusoma somo lifuatalo (bofya tu): Je, tukusanyike siku gani?  Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili kupata picha kamili ya mafundisho yao. Ilikuwa dhahiri kuwa imani ya … Continue reading Chimbuko Na Upotofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato